soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, leo June 23 nakusogezea TBT picha za Neymar wa FC Barcelona, Sergio Ramos wa Real Madrid,Ronaldinho na watanzania nakusogeze TBT picha za Juma Kaseja, Thomas Ulimwengu, Hamis Mroki na Himid Mao.
Thursday, June 23, 2016
Sunday, June 19, 2016
Unaweza kuangalia Live mechi ya MO Bejaia vs Yanga hapa kuanzia saa 00:15
Michezo By j.twice
on
Mtu wangu wa nguvu najua umesikia taarifa za kuwa mechi ya MO Bejaia dhidi ya Yanga haitaoneshwa katika vitua vya tv vya hapa nyumbani, lakini millardayo.com imejaribu kutafuta link ya kukuwezesha kuangalia mechi hiyo live, mechi itaanza saa 00:15 kwa saa za Afrika Mashariki, kwa mujibu wa mitandao ya nje mechi hiyo inaripotiwa kuwa itaoneshwa live.
Subscribe to:
Comments (Atom)
