Michezo By
on
Mtu wangu wa nguvu najua umesikia taarifa za kuwa mechi ya MO Bejaia dhidi ya Yanga haitaoneshwa katika vitua vya tv vya hapa nyumbani, lakini millardayo.com imejaribu kutafuta link ya kukuwezesha kuangalia mechi hiyo live, mechi itaanza saa 00:15 kwa saa za Afrika Mashariki, kwa mujibu wa mitandao ya nje mechi hiyo inaripotiwa kuwa itaoneshwa live.
No comments:
Post a Comment