Hatimaye vigogo wa hispania wmejikuta wakianza mwaka vibaya kwa kufungwa.ambapo real madrid amejikuta akichezea kichapo cha bao mbili kwa moja kutoka kwa valencia nao barc wamejikuta wakipokea kichapo kutoka kwa realsoc huku ikiwa furaha kwa kocha mpya wa timu hiyo david moyess
Monday, January 5, 2015
Sunday, January 4, 2015
RAIS KIKWETE ATOA SALAAM ZA MWAKA MPYA
Rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania mh jakaya mrisho kikwete leo tarehe 3jan ametoa salaam za mwaka mpya kwa wananchi wake wa tanzania.katika salaam hizo rais ameandika "nawatakia nyote heri na mafanikio kwa mpya wa 2015". tutazame tunayo ifanyia nchi yetu kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini.
PANYA ROAD NOMAAA
miuungoni mwa story zilimeki head line jan 2 ni kuhusu kikundi cha watu maarufu kama (panya road)kilicho vamia maeneo na kupora vitu vya thamani na kupiga watu.Staa wa kike wabongo fleva ray c (rehema chalamila.kupitia instergram amethibitisha kuwepo kwa kikundi hicho na kuandika SINA HAMU NA PANYA ROAD
NA HAO APO NDIYO WALOKAMATA NA JESHI LA POLISI
MANCHESTER CITY YAHUSISHWA NA USJILI WA NYOTA HUYUU
siku chache baada ya kuhusisha na mpango wa kumsajili msahmbuliaji raia wa ivory cost wilfred bony ,mabingwa watetezi wa ligi kuu england wametajwa kuongoza mbio za kumsajili kiungo wa everton ross barkley na club hiyo imeandaa ofa ambayo inauhakika kwa mchezaji huyoooo
Subscribe to:
Comments (Atom)





