Sunday, January 4, 2015

RAIS KIKWETE ATOA SALAAM ZA MWAKA MPYA

Rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania mh jakaya mrisho kikwete leo tarehe 3jan ametoa salaam za mwaka mpya kwa wananchi wake wa tanzania.katika salaam hizo  rais ameandika "nawatakia nyote heri na mafanikio kwa mpya wa 2015". tutazame tunayo ifanyia nchi yetu kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini.

No comments:

Post a Comment