Nimekusogezea wimbo mpya wa Kendrick Lamar: Alright. (Video) By J.twice
Kendrick Lamar ni msanii wa HipHop ambaye anatamba na album yake mpya iitwayo Pimp A Butterfly, album ambayo inafanya vizuri Marekani. Kendrick ameona asikae kimya sana, ameamua atusogezee video mpya ya wimbo unaopatikana katika album hiyo.
No comments:
Post a Comment