Ni furahiday mtu wangu.. Karibu TENA ucheki trailers na ratiba ya movies3 By j.twice
.
Terminator Genisys ni movie mpya ambayo ndani yake yumo staa Arnold Schwarzenegger, unaambiwa kama utaingia leo kwenye theater mbalimbali basi utakutana nayo mtu wa nguvu.ni move ambayo imetoka mwishoni mwa mwaka jana. Na hiyo namba two inaitwa everly ni movie iliyotoka mwanzoni mwa mwaka 2015 ikopoa sanA.na hiyo no 3 inaitwa jurassic ikopoa sana fanya kama unazitafutaaa
No comments:
Post a Comment