Wednesday, June 17, 2015

BANZA STONE yuko hoi,amegoma kula ,hazungumzi na pia amegoma kunywa dawa.jamni wadau wa music tumwombee ndugu yetu awezekupona pia mama mzazi wake amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wenzake wamemtenga mwanae kwa sababu hakuna msanii yeyote aliyejitokeza kumpa pole wala kumwangalia

No comments:

Post a Comment