Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI..kutoka katika MMEA huu by j.twice
Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI kutoka kwenye mmea. Uthibitisho wa Kisayansi kutoka Nchi nyingine haujafanyika kuthibitisha tiba hiyo.
-Kwa mujibu wa tovuti moja ya Korea ya Kaskazini, dawa hiyo kwa mara ya kwanza iligunduliwa mwaka 1996
No comments:
Post a Comment