Banza Stone alivyoita Waandishi wa habari kukanusha kifo, kusema anachoumwa na mengine. j.twice source Millard ayo
Mwimbaji wa longtime kwenye muziki wa dance Tanzania Banza Stone alikutana na Waandishi wa habari wachache kwa ajili ya kukanusha taarifa za kuzushiwa kifo, maisha yake kwa sasa na kilichokua kinamsumbua kiafya.
No comments:
Post a Comment