Thursday, June 18, 2015

jose chameleone on way kenya.sababu cheki hapo down!!!

Jose Chameleone na mpango wake wa kuhamishia makazi yake kenya,sababu iko hapa. By j.twice



Mtandao wa Ghafla wa Kenya umeripoti kuwa msanii mkubwa Afrika anayetokea Uganda anampango wa kuhamishia makazi yake nchini Kenya. Imesemekana kuwa Jose Chameleone ameonekana maeneo ya Westlands akiwa na madalali wanaosaidia watu kupata nyumba za kifahari za kununua.

Sababu ya kuhamia Kenya imetajwa kuwa ni vyombo vya habari nchini Uganda kutopenda maendeleo ya msanii huyu.

Jose Chameleone alianza muziki na kujifunza lugha ya kiswahili akiwa Kenya.

No comments:

Post a Comment