Thursday, June 18, 2015

p.diddy vs pharell williams ktk movie

 Ni FurahiDay nyingine tena, P Diddy na Pharell Williams washirikiana kukulea movie hii mpya “DOPE!” By j.twice


CEO wa Bad Boy Entertainment na business mogul Sean “Diddy” Combs maarufu kama P Diddy ni music legend, business mastermind na fashion designer. Licha ya mafanikio haya  P Diddy pia anamiliki kituo chake cha Tv kiitwacho REVOLT kinacho weka headlines kubwa kama moja ya vituo vya Tv venye ushawishi mkubwa katika entertainmnet industry Marekani.

P Diddy hajaishia hapo, safari hii anakuja kivingine, na kupitia kituo chake cha Tv cha REVOLT na ushirikiano wa Pharell Williams msanii mwenye hitsong ya “Happy”, P Diddy yupo tayari kudondosha movie yake mpya iitwayo DOPE ambayo ndani yake yupo mwanae Quincy Brown  na wasanii wa HipHop ASAP Rocky pamoja na Tyga.


Producers na directors wakubwa kwenye movie hii ni Pharell Williams, P Diddy na Forest Whitaker, na movie hii inaanza kuonyeshwa rasmi katika cinemas za Marekani leo.

Hapa nimekusogezea vipande vya trailer ya movie hio, unaweza kuzitazama hapa

No comments:

Post a Comment