ENTERTAINMENT Kingine kiko hapa kuhusiana na afya ya Bobbi Kristina.. By j.ywice
onJune 15, 2015
Matumaini ya kupona kwa Bobbi Kristina yamezidi kupotea huku familia yake ikiridhia mtoto huyo kurudishwa katika nyumba ya mama yake wakiamini wakati wowote anaweza kupoteza maisha.
Hata hivyo bibi wa Bobbi Kristina ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwanamuziki wa Marekani marehemu Whitney Houston, ameonekana kuturidhia uamuzi huo.
Baba yake Bobbi Kristina amejitahidi kwa kiasi kikubwa kupigania afya ya mtoto huyo tangu alazwe hospitali mapema mwezi wa kwanza baada ya kuanguka bafuni lakini bado hali yake inaonekana kutoridhisha.
Inasemakana familia yake imepanga mtoto huyo kurudishwa katika nyumba ya mama yake mzazi ambapo ataendelea kukaa huko.
No comments:
Post a Comment