Sunday, June 21, 2015

Kilichokuwa kinaendelea Jana katika mitaa mbalimbali ya jijini mbeya jeshi la wananchi liliingia barabarani na kufanya msako kwa kila gari lililokuwa likipita  kwa madai ya kuwa Luna majambazi wameingia jijini hapo .
hapo ni baadhi ya abiria walioshuka katika gari na kufanyiwa ukaguzi katika mitaa ya nanenane mbeya

No comments:

Post a Comment