Thursday, June 18, 2015
upendo kwa islamic people from meek mill
ENTERTAINMENT Meek Mill asambaza upendo kwa waislam wote na ujumbe huu wa Ramadhan. By j.twice
Mfungo wa Ramadhan umeanza rasmi leo duniani kote na kwa wenzetu waislam msimu huu wa Ramadhan ni msimu mtukufu wa mfungo wa kujisafisha na kutafakari mambo mengi ya kidini na ya kimaisha.
Na leo kuna msanii kupitia Instagram amechukua time kuonyesha upendo pamoja na kuwatakia waislam wote duniani mfungo mwema wa Ramadhan, msanii wa HipHop Marekani Meek Mill amewatakia waislam wote mfungo mwema wa Ramadhan Kareem kwa kupost picha na ujumbe unaosema >>> “One Love to the Muslims!”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment