MICHEZO Messi katika rekodi hii ya idadi ya mechi alizocheza katika timu yake ya Taifa.. By j.twice
Lionel Messi amefikisha mechi ya 100 akiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Argentina wakati alipokichezea katika mechi ya michuano ya Copa America dhidi ya Jamaica.
Katika mchezo huo ambao Argentina iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica, shujaa wa usiku huo alikua ni Higuain ambaye ndiye aliyepachika bao hilo.




No comments:
Post a Comment