Thursday, June 18, 2015

NYIMBO MBILI ZA WASANII WA TZ ZAINGIA KTK TOP 10 YA TRACE TV

Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya kimesema hizi ndio video 10 bora za Africa zinazotamba wiki hii zikiwemo za  watanzania wawili  (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz).vanessa ktk nafasi ya 7 na iyanya ktk nafasi ya 8

No comments:

Post a Comment