BREAKINGNEWS Kilichonifikia kuhusu msiba wa Kiongozi wa Waislamu Tanzania leo >> #Breaking.. June 15 2015 By j.twice TZA
onJune 15, 2015
Mitandao ya Kijamii imekuwa njia rahisi zaidi kufanya taarifa kuwafikia watu wengi kwa haraka zaidi, kilichokua nafasi kubwa leo ni ishu ya msiba wa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Tanzania.
MICHUZI BLOG kuna stori inayothibitisha msiba wa aliyekuwa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba ambaye amefariki katika Hospitali ya TMJ Dar.
Naifuatilia hii stori kwa ukaribu, na kila nitakachokipata nitakuzogezea hapahap
No comments:
Post a Comment