Saturday, June 13, 2015

Hii Ni Kolabo Nyingine Ya Afrika Mashariki Chege, Feza Kessy, Wahu Na Mgenge Nonini?



Wahu, Chege na Feza Kessy
Unaikumbuka hii Mkono mmoja weka juu temba,chege ft wahu huenda hii ikawa collabo nyingine kubwa ya Afrika Mashariki inakuja.

Mkata Mkaa mwenye roho mbaya, Chege Chigunda aka Mtoto wa Mama Said, yupo Nairobi, Kenya alikoenda kufanya wimbo na Nonini. Lakini kwa mujibu wa picha tunazoziona kwenye Instagram, huenda collabo hiyo ikawajumuisha pia Feza Kessy na Wahu.   By. J.twicee

No comments:

Post a Comment