Break news kampuni ya gari aina ya another g imethibitisha kwa ajili ya gari lao litokalo iringa kuelekea njombe .wamesema kuwa Jana usiku mida ya SAA mbili gari lao limepata ajali maeneo ya kinyanambo na kuua watu 20 papo hapo.nakusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni gari la mizigo scania iliyokuwa imepotea njia na kwenda kuligonga gari hilo
No comments:
Post a Comment