Saturday, June 13, 2015

GENERAL NEWS Ray C kalia machozi kilichomliza kiko hapa onJune 12, 2015 Ray C ni staa wa muziki TZ ambae aliamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya… leo katika Ukurasa wake wa Instagram na kupost video tatu… analalamika kwamba yuko Hospitali na amekosa dawa. “Nashindwa kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi.. Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?“>>>–@rayc1982 Wana maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika unaambiwa imekuwa kama shule“>>> –@rayc1982 Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“>>>–@rayc1982

No comments:

Post a Comment